MAREKANI , Rais Trump 'Nilimwambia Mimi sichunguzwi'

Rais Trump (kulia) na James Comedy (Kushoto) picha kwa hisani ya BBC swahili

Rais wa Marekani Donald Trump amesisitiza kwamba hafanyiwi uchunguzi wowote baada ya kumfuta kazi mkurugenzi wa shirika la ujasusi la FBI.

Sikh chache zilizopita Rais Wa Marekani Donald Trump alimfuta kazi Mkurugenzi mkuu wa FBI Be. James Comedy kwa madai kwamba hakuisimamia uchunguzi wa barua pepe za Hillary Clinton ipasavyo. 

Katika maelezo take Rais Trump Alisiaitiza kuwa yeye hachunguzwi hata kidogo.
  • BW. James Comey 

0 Comments:

Post a Comment