Uhuru wa kutoa maoni ni haki ya kimsingi kabisa ambapo Watanzania tumepatiwa na katiba yetu hivyo yeyote atakayejaribu kuzuia au kukataza watu kutoa maoni more ja kwa moja anakuwa anapingana na katiba ambapo ni sheria mama.
Hivi karibuni kumekuwa na matukio ya watawala kujaribu kizuia watu kutoa maoni kuwakosoa pale wanapokosea huku wakitumia
Hata hivyo watawala wanapaswa kuelewa madhara ya kuminya uhuru wa kutoa maoni na kujieleza
Soma zaidi hapa
0 Comments:
Post a Comment