FROM GODBLESS LEMA:
Tokea nizaliwe sijawai kukasirishwahivi kama nilivyokasirika leo na
jambo la huyu muhuni Makonda kumpiga na chupa mzee warioba ni kukosa
heshima
kukosa akili na ustaarabu ni upumbavu .ushenzi na
uhuni wa hali ya juu kitendo cha ccm kuwatuma wahuni wa chuo cha
diplomasia kumshambulia mzee warioba ni dalili tosha ya kushindwa kwa
utawala kama judge ambaye pia ni waziri mkuu mstaafu na vilevile ni
kada mkubwa ndani ya ccm anatendewa uhuni huu wewe mtanzania wa
kawaida watakufanya nini??? mti mbichi unatendwa hivi mti mkavu je....
ni wakati sasa wa watanzania kujiuliza hii katiba PENDEKEZWA inayo
siri gani ambayo ccm hawataki wananchi tuijue???? kwanini wanatumia
nguvu nyingi kutunyamazisha??? kwanini hawataki tuijadili????? kwanini
hawataki wananchi waelimishwe??? hii ni karne ya 21 ni karne ya
kubishana kwa hoja sio karne ya matusi na vurugu mjibuni warioba na
tume yake kwa hoja simlisema mnauhakika na katiba
"pendekezwa"imezingatia matakwa ya wananchi sasa wanaogopa
nini???mbona nyie mkifanya makongamano yenu hakuna mtu
anayewaingilia??? tuacheni tupate elimu juu ya katiba tunayoitaka
ninatoa rai kwa kila mzalendo wa taifa hili kukilaani kitendo cha
muhuni makonda kumpiga mzee warioba na laana ya Mungu ishuke juu yake
Shame on you makonda..
SERIKALI YATOA TAKRIBANI SHILINGI BIL. 41 KUBORESHA MIONDO MBINU SUA
-
NA FARIDA MANGUBE, MOROGORO
Takribani shilingi bilioni 41 zimetolewa na serikali kupitia Mradi wa Elimu
ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) unaofadhiliwa...
6 hours ago
0 Comments:
Post a Comment