No shehe Semtawa wa gazeti la Tz Daima ni baada ya kuwapiga picha
askari wa usalama barabarani wakati walipokamata gari la abiria
na kuwaamuru abiria washuke
Tukio hilo limetokea leo saa 11 jioni katika eneo la kimara na kwa
sasa anaendelea kuhojiwa, huku kukiwa na ubishani mkali muda huu kwa
askari kutaka aandike kile wanachotaka wao ikiwamo dhana wanayoijua
wao. Pia wameamua kuchukua muda mrefu kwenye mahojiano hayo na
ikiwezekana wamlaze ndani.
Kamera aliyopigia picha imechukuliwa na picha alizopiga zimefutwa na Polisi.
HUU NDIO UTOFAUTI WA CCM NA VYAMA VINGINE - KIHONGOSI
-
Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),
Komredi Kenani Labani Kihongosi,ametembelea Shina Namba 7 la CCM katika
Tawi la Many...
4 hours ago
0 Comments:
Post a Comment