HABARI PICHA-UZINDUZI WA JIKO KUWEZESHA MPANGO WA CHAKULA MASHULENI




picha ya 1
Mkuu wa wilaya ya Arusha John Mongela akiwatunza wanafunzi wa shule ya msingi Levolosi iliyoko jijini Arusha walioimba shairi katika uzinduzi wa jiko lilojengwa na mhisani Daniel Materi kwa gharama ya sh milioni 25 ikiwa ni jitihada ya kuunga mkono mpango wa chakula mashuleni.ulifanyika juziPicha na Ferdinand Shayo

Picha ya 2
Kushoto ni Mbunge wa Simanjiro Christopher Ole Sendeka na Mfanyabiashara Daniel Materi akiwatunza wanafunzi wa shule ya msingi Levolosi iliyoko jijini Arusha  walioimba shairi katika uzinduzi wa jiko lilojengwa na mhisani Daniel Materi kwa gharama ya sh milioni 25 ikiwa ni jitihada ya kuunga mkono mpango wa chakula mashuleni.Picha na Ferdinand Shayo

Picha ya 3
Kushoto ni Mbunge wa Simanjiro Christopher Ole Sendeka akifafanua jambo uzinduzi wa jiko la shule ya  msingi Levolosi iliyoko jijini Arusha lilojengwa na mhisani Daniel Materi kwa gharama ya sh milioni 25 ikiwa ni jitihada ya kuunga mkono mpango wa chakula mashuleni.kushoto ni Diwani wa kata ya Levolosi Ephata Nanyaro,wapili kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Arusha John Mongela,watatu kulia ni mkuu wa shule hiyo Elisante Kaaya na wakwanza kulia ni mhisani Daniel Materi Picha na Ferdinand Shayo

picha ya 4
Diwani wa kata ya Levolisi Ephata Nanyaro wakisemezana jambo na Mbunge wa Simanjiro Christopher Ole Sendeka katika zinduzi wa jiko la shule ya  msingi Levolosi iliyoko jijini Arusha lilojengwa na mhisani Daniel Materi kwa gharama ya sh milioni 25 ikiwa ni jitihada ya kuunga mkono mpango wa chakula mashuleni.Picha na Ferdinand Shayo






0 Comments:

Post a Comment