Watu 16 wamefariki dunia papo hapo na wengine 75 wamejeruhiwa baada ya
basi la AM linalofanya safari Mwanza-Mpanda kugongana na basi lingine
la Sabena linalofanya safari zake Mbeya - Tabora, ajali imetokea
katika eneo la Mlogoro ,Sikonge- Tabora..Habari zaidi na picha
tutawaletea punde...
Watumishi wapya wa Ofisi ya Msajili wa Hazina wapigwa msasa
-
Na Mwandishi wa OMH
Kibaha, Pwani. Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH), kwa kushirikiana na Chuo
cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), imeendesha mafunzo ya s...
1 hour ago