Mwili wa Hayati Cleopa Msuya Wawasili Nyumbani Upanga kwa Heshima za Mwisho


 



Mwili wa Hayati Mheshimiwa Cleopa David Msuya, aliyewahi kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mkuu mstaafu, umewasili nyumbani kwake Upanga, jijini Dar es Salaam leo Mei 10, 2025.






0 Comments:

Post a Comment