PROF NDAKIDEMI; MAPENZI YA JINSIA MOJA KWETU NI HARAMU,
ATUMIA VIFUNGU VYA BIBLIA KUKEMEA,
Na Gift Mongi, Dodoma
Yaliyonenwa na nabii Daniel katika kitabu kitakatifu cha biblia sasa huenda ikawa inaanza kujitokeza katika jamii zetu tena wazi wazi!
Hapa tunazungumzia suala la mapenzi ya jinsia moja jambo linaloonekana kwa sasa ni mwiba duniani kote na vile vile zinahitajika jitihada za za maksudi kati kukabiliana na jambo hili
Katika kuonesha ukomavu wa kuikataa vitendo hivi mbunge wa jimbo la Moshi vijijini mkoani Kilimanjaro, Prof. Patrick Ndakidemi ameitaka serikali kutunga sheria ya kukabiliana na ushoga nchini kwani vitendo hivyo vimeonekana kukithiri.
Prof. Ndakidemi alitoa kauli hiyo jana wakati akichangia bajati ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Makundi maalum Bungeni jijini Dodoma.
0 Comments:
Post a Comment