PROF NDAKIDEMI ATAKA KUJUA UKARIBU WA MAMLAKA YA HALI YA HEWA KATIKA NGAZI YA WILAYA NA KANDA




x

Na Gift Mongi, Dodoma


Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini Profesa Patrick Ndakidemi leo tarehe 13.05.2024 aliuliza swali la msingi bungeni kama ifuatavyo:*


 Je, Serikali ina mpango gani wa kuboresha utendaji wa Mamlaka ya Hali ya Hewa ili waweze kutoa utabiri sahihi*. Pia aliuliza maswali mawili ya nyongeza. 1) Je? Ni lini Serikali itapeleka watendaji wa mamlaka ya hali ya hewa katika ngazi za kanda, mikoa na wilaya ili kuboresha huduma za mamlaka na kwa wananchi?


 2) Je? Serikali haioni haja ya kutumia simu za viganjani kuwatumia  wananchi wote  taarifa za hali tete za hewa katika maeneo husika? 


Kufuatia maswali hayo hatimaye serikali kutoka kwa naibu waziri wa uchukuzi David Kihenzile akatoa majukumu   kama ifuatavyo...


0 Comments:

Post a Comment