.jpeg)
x
x
Na Gift Mongi,
Dodoma
Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini Profesa Patrick Ndakidemi leo tarehe 07.05.2024 aliuliza swali la nyongeza bungeni kama ifuatavyo:*
*Watoto wenye ulemavu ni wengi nchini. Je? Serikali ina mkakati gani wa kuwatambua huko vijijini, wilayani na mikoani ili waweze kupatiwa huduma stahiki?
Kutokana na swali hilo majibuyakatoka serikali kupitia Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu Mh. Patrobas Katambi
SAFARI YA KUZAA NA KUHAMA KWA NYUMBU YATUA FITUR HISPANIA
-
Na Mwandishi wetu.
Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia taasisi zake inaendelea kunadi
vivutio vya utalii vilivyopo Tanzania katika maonesho ya FITUR
y...
1 hour ago
0 Comments:
Post a Comment