Samia na Rais wa Somalia Wakiongea na waandishi wa habari Dar


  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan na Mgeni wake Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia Dkt. Hassan Sheikh Mohamud wakizungumza na Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya Habari mara baada ya Mkutano wao uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili, 2024.

0 Comments:

Post a Comment