Safari ya Kurejesha Uhai kwenye Barabara ya Mabogini Kahe

Safari ya Kurejesha Uhai kwenye Barabara ya Mabogini Kahe



Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini, Profesa Patrick Ndakidemi, ameuluza bungeni  suala la barabara ya mabogini Kahe bungeni. 

Barabara hii, inayohudumia majimbo mawili ya Moshi Vijijini na Vunjo, imeathirika vibaya na mvua za El Niño.


Je, serikali ina mikakati gani ya kukarabati barabara hii na kurejesha ufanisi wake? Kupitia majibu ya Naibu Waziri OR-TAMISEMI, Mhe. Deogratius Ndejebi, tutapata ufafanuzi na kuelewa hatua zinazochukuliwa. 


Gusa video..





0 Comments:

Post a Comment