WAZIRI wa Afya Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui, akitoa akitoa maelezo wakati akimkaribisha mgeni rasmi, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, leo Julai 13, 2022 kwenye ufunguzi wa Kongamano la Pili la Kumbukizi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin Mkapa. Hafla imefanyika Mkoa wa Mjini Magharib Unguja.
CRDB YAADHIMISHA MEI MOSI KITAIFA NJOMBE
-
*Na Mwandishi Wetu*
*Njombe. CRDB Bank Plc imeendelea kuonesha dhamira yake ya kuunga mkono
wafanyakazi na maendeleo ya taifa kwa kudhamini na kushirik...
1 day ago

0 Comments:
Post a Comment