Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe alipowasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 04 March, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe alipowasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 04 Machi, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Mwenyekiti wa Chatma cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 04 Machi, 2022.
0 Comments:
Post a Comment