SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA WAKUU EU NA AU

 


Rais, Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Viongozi Wakuu wa mataifa mbalimbali duniani wakishiriki katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya na Umoja wa Afrika (EU-AU Summit) leo tarehe 17 Februari, 2022 Brussels nchini Ubelgiji.



0 Comments:

Post a Comment