Sehemu ya Viongozi mbalimbali wa Dini, Mapadree, Masista, pamoja na wananchi wa Ngara wakiwa katika Jubilee ya miaka 25 ya Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge Ngara, Severine Niwemugizi iliyofanyika katika viwanja vya Posta Ngara mkoani Kagera.
Sheikh wa Wilaya ya Ngara Rajab Abdalah Msabaha akimpongeza Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge Ngara, Severine Niwemugizi katika Sherehe za Jubilei ya Miaka 25 ya Utumishi wake wa Uaskofu katika viwanja vya Posta Ngara mkoani Kagera.
Maaskofu kutoka Majimbo mbalimbali ya Kanisa Katoliki Tanzania wakimpongeza na kumpa zawadi Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge Ngara, Severine Niwemugizi katika Sherehe za Jubilei ya Miaka 25 ya Utumishi wake wa Uaskofu katika viwanja vya Posta Ngara mkoani Kagera
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali wa dini katika Sherehe za kumpongeza Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge Ngara, Severine Niwemugizi katika Jubilei ya Miaka 25 ya Utumishi wake wa Uaskofu leo tarehe 22 Februari, 2022 katika viwanja vya Posta Ngara mkoani Kagera. PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha na Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge Ngara, Severine Niwemugizi, pamoja na Maaskofu wengine kutoka majimbo mbalimbali Katoliki nchini, na nje ya nchi katika Jubilee ya Miaka 25 ya Utumishi wake wa Uaskofu leo tarehe 22 Februari, 2022 katika viwanja vya Posta Ngara mkoani Kagera. PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha na Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge Ngara, Severine Niwemugizi, viongozi mbalimbali wa Serikali na Watoto wa kipapa wa Jimbo Katoliki la Rulenge Ngara katika Jubilee ya Miaka 25 ya Utumishi wake wa Uaskofu leo tarehe 22 Februari, 2022 katika viwanja vya Posta Ngara mkoani Kagera
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali wa dini katika Sherehe za kumpongeza Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge Ngara, Severine Niwemugizi katika Jubilee ya Miaka 25 ya Utumishi wake wa Uaskofu leo tarehe 22 Februari, 2022 katika viwanja vya Posta Ngara mkoani Kagera
0 Comments:
Post a Comment