MWENYEKITI wa Baraza la Mawaziri wa Afrika Mashariki, Adan Mohamed, (Kenya) leo April 23, 2021 akiongoza kikao cha makabidhiano ya kiofisi baina ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, (EAC) aliyemaliza muda wake, Balozi, Liberatus Mfumukeko, (Burundi) na Peter Mathuki, (Kenya) anayechukua nafasi hiyo wengine ni maafisa waandamizi wa makao makuu ya EAC
Uchumi : Rais Samia Aipa BOT Dira Mpya
-
Na Janeth Raphael MichuziTv
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameielekeza
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuongeza uwezo wa kuc...
9 hours ago


0 Comments:
Post a Comment