![]() |
| Aliyekuwa Ras mkoani Arusha, Richard Kwitega enzi za uhai wake |
KATIBU Tawala Mkoa wa Arusha Ndugu Richard Kwitega amefariki dunia kwenye ajali iliyotokea Magugu akielekea Dodoma kikazi.
![]() |
| Aliyekuwa Ras mkoani Arusha, Kwitega enzi za uhai wake |
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Idd Kimanta amethibitisha kutokea kwa kifo hicho Cha Katibu Tawala Richard Kwitega.


0 Comments:
Post a Comment