ALIYOFANYA RAS WA ARUSHA SAA CHACHE KABLA YA KIFO CHAKE



ALIYEKUWA Katibu tawala mkoa wa Arusha, marehemu, Richard Kwitega alifungua Semina ya Siku Mbili kwa Wahariri wa Vyombo  vya habari  nchini iliyoanza jana Mkoani Arusha.

Alifungua semina hiyo kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Doto James.



Katibu Tawala mkoa wa Arusha,  marehemu, Rchard Kwitega, ( katikati), Mkurugenzi wa mifumo ya kifedha kutoka wizara ya fedha na mipango,.John Sausi kushoto na Mwenyekiti wa Semina hiyo Benny Mwang’onda wakiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa semina hiyo mara baada ya kufunguliwa rasmi.


0 Comments:

Post a Comment