Ukiingia uwanja wa uhuru muda huu Maandalizi ya Tamasha la Serengeti Festival yamekamilika kwa 100%. Kiingilio cha Tsh 5000 tu unapata burudani toka kwa wasanii zaidi ya 60 wakiwemo wa zamani na wa sasa. Ni kuanzia saa 8:00 mchana.
Muonekano wa uwanja wa uhuru tayari kwa Serengeti Festival
Saturday, December 26, 2020
No Comment








0 Comments:
Post a Comment