WABUNGE WA CHADEMA WAIBUKIA EU

 Wabunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamefika kwenye ofisi za Umoja wa Ulaya, (EU)  zilizoko jijini Dar es salaam ambapo  wanaendelea na kikao na wenyeji wao.

Hatua imechukuliwa wakati ambao wafuasi wa chama hicho akikumbwa na sintofahamu baada ya viongozi wao wakuu sita akiwemo Mwenyekiti wao wa Taifa, Freeman Mbowe akiwa hajatokea mahakamani licha ya kuwepo Kwa amri ya mahakama iliyoagiza hivyo juzi wakati shauri hilo likiahirishwa.



0 Comments:

Post a Comment