#UPDATES: Ndugai awataka wabunge kumchangia matibabu ya Lissu

DODOMA: Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Gari la Tundu Lissu ilipigwa kati ya risasi 28 hadi 32 lakini zilizompata Lissu ni tano

#Bungenileo "Fedha zitakazotolewa na wabunge kwa ajili ya kuchangia matibabu ya Mhe.TunduLissu ni Tsh. Mil. 43"- Spika Job Ndugai

Play hii video hapa chini. 

0 Comments:

Post a Comment