| Diamond Platnumz |
US Dollar Millioni 4.1 ni kiasi cha Fedha zinazokadiriwa kuwa analipwa msanii wa Marekani RickRoss na Kampuni ya Vinywaji vikali Luc Belaire ya nchini ufaransa.
Siku moja iliyopita Kampuni hiyo ilimtangaza mshirika wake mpya msanii nyota wa Afrika staa wa wimbo wa 'Eneka' Diamond Platnumz.
Ambapo kwa maana hiyo Diamond anaungana na Mastaa wengine wakubwa wa dunia akiwemo RickRoss ambaye anadaiwa kuwa na hisa kubwa katika Kampuni hiyo.
![]() |
| Diamond Platnumz |
Swali linalo vuma kwa sasa ni kwamba Je! Diamond Platnumz analipwa kiasi gani cha Fedha baada ya kuingia mkataba mkubwa na Kampuni hiyo ya Ufaransa?
Je atalipwa Sawa na RickRoss ambaye anaingiza kiasi cha dollar za Marekani Millioni 4.1 Sawa na zaidi ya Tsh. Billioni 8 !!


0 Comments:
Post a Comment