Katika chart ya wiki hii hakuna mabadiliko katika nafasi mbili za mwanzo kwani wiki iliyopita Alikiba na Diamond/WCB walikuwa katika nafasi hizo. Video zilizoingia ni Dogo Janja – Ngarenaro na Aslay – Pusha.
- Alikiba – Seduce Me ( katika trending ya Tanzania ni namba moja) wiki iliyopita ilikuwa katika nafasi hii pia.
2. Diamond, Harmonize, Rich Mavoko, Rayvanny, Queen Darleen – Zilipendwa (katika trending ya Tanzania ni namba mbili) wiki iliyopita ilikuwa katika nafasi hii pia.
3. Dogo Janja – Ngarenaro (katika trending ya Tanzania ni namba 6) wiki iliyopita nafasi hii ilishikiliwa na Jux – Utaniua.
4. Jux – Utaniua (katika trending ya Tanzania ni namba 9) wiki iliyopita nafasi hii ilishikiliwa na Rostam (Roma & Stamina) – Hivi Ama Vile.
5. Aslay – Pusha (katika trending ya Tanzania ni namba 11) wiki iliyopita nafasi hii ilishikiliwa na Lava Lava – Dede.
0 Comments:
Post a Comment