BREAKING NEWS: Ofisi za CHADEMA Morogoro imevamiwa...


Breaking News: watu wasiojulikana  wamevamia ofisi za Chadema Morogoro Mjini na kumchukua kwa nguvu msaidizi wa Ofisi hiyo Ndugu Ibra ambaye mpaka hivi sasa hajulikani aliko! Makamanda morogoro mjini tushirikiane kum tafuta Ibra.

0 Comments:

Post a Comment