TANZIA: MILIONEA MREMA AFARIKI DUNIA


TANZIA: Mmiliki wa Impala Group of Hotels amefariki akiwa Afrika ya Kusini akitibiwa tangu mwezi wa Sita 2017
----------------------------

Anaitwa Bwana Faustine Meleo Auye Mrema – ni mzaliwa wa Rombo

The Impala Group of Hotels inajumuisha:
1) Impala hotel (Arusha)
2) Impala hotel (Moshi)
3) Ngurdoto Mountain Lodge (Arusha)
4) Naura Springs Hotel (Arusha)
5) Impala shuttle Services (Arusha)
6) The Classic Tours & Travels
Impala Hotel ambayo ndio hotel yake ya kwanza ilianzishwa mwaka 1988

0 Comments:

Post a Comment