Breaking News: Simanzi, Mke wa waziri Mwakyembe amefariki dunia


Mezani kwetu Tena Asubuhi hii ni taarifa ya kifo cha mke wa Waziri Mwakyembe 
Bi Linah alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Agha Khan akipatiwa matibabu na shughuli za msiba huo zinafayika nyumbani kwake Kunduchi Beach, Dar Es Salaam.

Habaritanzaniagracemacha.com tunaungana waombolezaji nakuipa faraja na moyo wa uvumilivu familia ya Dkt. Harison Mwakyembe waziri wa Habari utamaduni na vijana.

0 Comments:

Post a Comment