| Meya wa Jiji la Arusha Mh. Kalisti Lazaro Pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Karatu DC Theresia Mahongo |
| Meya wa jiji la Arusha akisalimiana na mama Bayo Miongoni mwa Waanzilishi wa shule ya Tumaini Jonior School na Tumaini Senior School |
| Mkuu wa Wilaya Mh. Theresia Mahongo akiteta jambo na Mmiliki wa Shule ya Lucky Vicent |
| Mkurugenzi wa Shule ya Tumaini Jonior Karatu akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Karatu Bi Theresia Mahongo |
| Mkuu wa Wilaya ya Karatu DC Theresia Mahongo, meya wa Arusha na maafisa wengine wa Serikali wakiwa katika eneo ambalo wajali ya Lucky Vicent ilitokea wilayani Karatu |
| Wazazi waliofiwa katika ajali ya Lucky Vicent wakiwa katika eneo la ajali ilipotokea Karatu |
| Mkuu wa wilaya ya Karatu Mh. Theresia Mahongo akiteta jambo na Diwani wa Kata ya Ngarenaro Doita Harry |
| Mkuu wa Wilaya ya Arusha Bi. Theresia Mahongo , Meya wa jiji la Arusha Kalisti Lazaro kwa pamoja wakiwasili Shule ya Tumaini junior Karatu. Picha ya VOA TV |
| Kutoka kulia Mkuu wa Wilaya ya Karatu Bi. Theresia Mahongo , Meya wa jiji la Arusha Kalisti Lazaro, na Diwani wa Ngarenaro Doita Harry |
| Wazazi waliofiwa ajali ya Lucky Vicent wakiwa katika eneo la Tumaini Jonior wakisikiliza Hotuba ya Mkuu wa wilaya . |
| Mkuu wa Wilaya ya Karatu Mh. Theresia Mahongo akihutubia |
| Wanafunzi wa darasa la Saba katika shule ya Tumaini Jonior ambao walikuwa wafanye mtihani wa Joints na wanafunzi wa Lucky Vicent ambao walipata ajali |
0 Comments:
Post a Comment