Mchezaji wa Everton Morgan Schneiderlin aliambatana na mkewe Camille ambao walitembelea Hifadhi ya Serengeti. Sasa kingine ni kwamba tofauti na wachezaji wote waliofanya hivyo hivi karibuni huyu amekuwa social zaidi kwa kujiweka free zaidi .
Morgan alionekana akicheza na watoto wa kabila la Kimasai mkoani Arusha.
Play video hapa chini
0 Comments:
Post a Comment