UPDATES: Ni Lowassa na Sentensi tatu 3 kuhusu Demokrasia


”Demokrasi ikishaanza ni gurudumu, kuizuia ni vigumu. Unaweza ukapunguza speed ya gurudumu la demokrasi lakini huwezi kuiondoa…demokrasi imeshaanza, inaendelea, ni vigumu kuizuia.
“Pili, ningetumia nafasi hii kuwaomba Wanachama wa Chama chetu na Wananchi na wanaotutakiwa mema wasiwe na mashaka kila kitu kiko chini ya utaratibu mzuri. Tuko sawasawa, tuko sahihi na tumetekeleza kama alivyosema Mwenyekiti sera ya Chama chetu. Wasiogope, wawe na amani, watulie.
“Jambo la msingi pale ni kuachiliwa Masheikh wa UAMSHO. Hatusemi hawana makosa lakini wamekaa pale miaka minne au mitatu. Nadhani ni wakati mzuri watu wale kuondolewa jela. Tulisema kwenye Ilani yetu kwamba watu hawa ni vizuri wakaondolewa gerezani, wamekaa vya kutosha.”  Edward Lowassa

0 Comments:

Post a Comment