Baada ya Diamond kutambulisha bidhaa Yake ya Manukato hivi karibuni sasa ni wakati mwingine ambapo msanii Huyo amekuja na bidhaa mpya ya Karanga ambayo huuzwa shilingi za kitanzania 300 kwa pakiti , huku katoni (boxi) lenye pakiti 100 huuzwa kwa shilingi 20000.
Diamond amezindua bidhaa hiyo leo Ilala jijini Dar es Salaam.
Mama Mzazi wa Diamond Platnumz akionja Katanga za mtoto wake.

0 Comments:
Post a Comment