|
Waziri mkuu Mh. Kassim Majaliwa. Picha ya V.O.A TV |
Ni taarifa kutoka ofisi ya waziri mkuu Mh. Kassim Majaliwa ya kusimamishwa kazi mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji EWURA Bw. Felix Ngamlangos
Ambapo kuanzia leo 11 June siyo mkurugenzi wa Mamlaka hiyo rasmi.
0 Comments:
Post a Comment