Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe alisimama Bungeni kuzungumzia mpango wa serikali kujenga reli ya kati ambayo tayari ujenzi wa reli hiyo kati ya Dar es salaam hadi Morogoro imeanza ambapo Zitto amekosoa hatua hiyo kwakusema serikali ilitakiwa kuangalia vipaumbele vya maeneo ambayo shughuli za reli hiyo yatasaidia nchi kujipatia kipato kikubwa zaidi.
SERIKALI YATAKIWA KUBORESHA KANUNI ZA MAUDHUI MTANDAONI
-
Na Woinde Shizza, Arusha
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeiomba Serikali kufanya
marekebisho ya haraka ya kanuni zinazosimamia maudhui m...
6 hours ago
0 Comments:
Post a Comment