UPDATES HlVI PUNDE: Wajumbe wa Baraza kuu la CHADEMA wamewasili Mjini Dodoma, Alichosema Mbowe

Inalindwa
Aliyekuwa Mbunge wa Moshi Mjini na M/Kiti wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro Mh. Philemon Ndesamburo (katikati) pamoja na Wajumbe wa kamati ya Baraza kuu la chama hicho.

Kama ilivyo mfulululizo wa Habari hii ni kwamba Wajumbe wa baraza kuu wa chama cha demokrasia na maendeleo Chadema wameshawasili mjini Dodoma ambako leo wanafanya kikao Maalum ya mjadala wa hapo kesho.

Makutano ya kamati hizo zinalenga kujadili halo ya mwenendo wa siasa nchini pamoja na hali ya uchumi kwa taarifa za nchi nzima.

Pamoja na yote yanayojiri ni kwamba mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Atoa kauli rasmi ya chama hicho kuhusu uchaguzi wa Kenya

 "Nimalizie kwa kuzungumzia uchaguzi unaotarajia kufanyika nchini Kenya.
Kwa muda mrefu chama chetu kimekuwa kikimuunga mkono Raila Odinga achukue nafasi ya kuliongoza taifa hilo.
Mwaka 2015 ilipofika zamu yetu, rafiki wetu huyu alitugeuka na kumuunga mkono adui yetu.
Hivyo sisi kama chama, safari hii tunamuunga mkono Rais Kenyatta na umoja wa vyama vinavyounda JUBILEE" Mh. MBOWE

Sasa rasmi CHADEMA wamuunga mkono Kenyatta Uchaguzi Kenya

0 Comments:

Post a Comment