UPDATES: VIONGOZI WA CAHDEMA KANDA YA KASKAZINI WAFIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU MZEE NDESAMBURO KUITIA FARAJA FAMILIA

aliyekaa kwenye kochi ni mke wa marehemu, Ndesamburo, Makomu


Katibu wa Kanda ya Kaskazini Mhe.Amani Golugwa akiwa ameongozana na viongozi wa chama kutoka Arusha wamefika nyumbani kwa marehemu Mzee Mhe.Phillemon Ndesamburo na kutoa salamu za pole kwa familia sambamba na vikao mbalimbali kuhusiana na msiba huo mkubwa sana.


Katika kikao kilichofanyika hapo nyumbani walikuwepo Katibu wa mkoa Mhe Basil Lema, Mstahiki Meya wa Moshi Mhe Raymond, madiwani wa moshi na wanafamilia. Taarifa zaidi zitatolewa kesho saa nane.

Imetolewa na;
Mozec Joseph
Afisa Habari CHADEMA Kanda ya Kaskazini.

0 Comments:

Post a Comment