HABARI ZA KIMATAIFA: Erdoğan Amewapa ujumbe huu Kinamama kuelekea siku ya Mama duniani hapo kesho

Ujumbe wa rais Erdoğan kwa niaba ya siku kuu ya akina mama
Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan  katika ujumbe wake kwa niaba ya siku kuu ya akina mama kuwa amesema kuwa  wanawake ni ishara tosha ya upendo, uvumilivu na huruma.
Siku kuu ya kimataifa ya akina mama  huadhimishwa  kila ifikapo Mei 14.
Rais Erdoğan ametoa ujumbe wa pongezi  kwa akina mama  na kusema kuwa ni akinamama ni ishara tosha ya upendo, uvimilivu na huruma.
Akinamama wanalo jukumu kubwa katika jamii kutokana na wadhifa walionao katika maisha ya kila siku.

0 Comments:

Post a Comment