Breaking News:Picha 3; ni Taarifa y kusikitisha kuhusu Simba SC, ni Shabiki mmoja wa Simba amefariki dunia kwa ajali ya Gari, Jonas Mkunde Majeruhi, NB: Haijathibitika Rasmi


Shabiki mmoja wa Simba Sports Club amefariki dunia baada ya ajali waliyopata huko dumila wakitoka dodoma. 
Miongon mwa waliokuemo kwenye ajali hiyo ni Jonas Mkude aliyeumia shingo na majeruhi wengine wamekimbizwa hosptali mkude alikuwa anawahi majukumu ya timu ya taifa.

0 Comments:

Post a Comment