Zari Mzazi mwenza wa Ivan amepost Instagram ujumbe huu
Baada ya taatifa za hivi karibuni ya kuumwa aliyekuwa mpenzi wake Zari The Boss Lady na Mzazi mwenzake, Breaking news iliyotufikia no kwamba Ivan Semwanga a.k.a Ivan the Don, mfanyabiashara maarufu nchini Uganda na mzazi mwenza wa mrembo Zari The Boss Lady, leo May 25, 2017 imeelezwa kuwa tajiri huyo kijana amefariki dunia.
Msajili wa Hazina azindua Mpango Mkakati wa NMB 2026–2030
-
Na Mwandishi wa OMH
Dar es Salaam. Msajili wa Hazina, Bw. Nehemiah Mchechu, amezindua Mpango
Mkakati wa Muda wa Kati wa Benki ya NMB wa mwaka 2026 hadi 2...
4 hours ago


0 Comments:
Post a Comment