UNICEF: Watoto milioni 25 waacha shule kwenye maeneo yenye mapigano

Shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF limesema watoto zaidi ya milioni 25 wenye umri kati ya miaka 6 hadi 15, ambao ni asilimia 22 ya watoto wa rika hilo kote duniani, wameacha shule kwenye maeneo yenye mapigano katika nchi 22, zikiongozwa na Sudan Kusini, Chad na Afghanistan. Ripoti ya UNICEF inasema, nchi hizo tatu pia zina idadi kubwa ya watoto wa kike ambao wameacha shule.
Image result for unicef logo

0 Comments:

Post a Comment