HABARI: WABUNGE KUTOKA KENYA WAMTEMBELEA MH. EDWARD LOWASSA MONDULI MCHANA WA LEO

Wageni kutoka Jamuhuri ya Kenya wakiongozwa na wabunge 13, Madiwani, Machifu na Maleigwanan kutoka kenya mchana wa leo wamemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu
Me. Edward Lowassa Akiwa na wabunge kutoka Kenya waliomtembelea nyumbani kwake Monduli.
 Mh. Edward Ngoyai Lowassa nyumbani kwake kijijini Ngarash, jimbo la Monduli wakiongozana na vikundi mbalimbali vya Wajasiriamali kutoka Wilaya mbalimbali za Mikoa ya Arusha na Manyara.


0 Comments:

Post a Comment