BREAKING NEWS : Basi la Champion limepata ajali

basi la champion lililokuwa linatoka Arusha kuelekea Dodoma limepata ajali mda huu .

Taarifa zinasema ajali hiyo imetokea Mara baada ya dereva wa basi hilo la champion kujaribu Ku overtake basi la shabiby na hatimaye kutaka kuvaana na tipa la mchanga na badala yake kubinuka kwa mujibu wa taarifa zilizotufikia Hakuna abiaria aliyepoteza maisha huku kukiwa na majeruhi wengi.


0 Comments:

Post a Comment