Raisi atangaza ongezeko la mshahara kwa asilimia 45% kwa wafanyakazi wa sekta zote nchini ambapo kwa wafanyakazi wa sekta binafsi ongezeko hilo litatokana na mikataba waliowekeana na waajiri wao.
Ongezeko hilo ambalo ni kubwa ambalo halijawahi kutokea katika historia limelenga zaidi kwa wafanyakazi wote wa wote haswa wafanyakazi wa serikali. Hatua hii ni katika kutaka kuboresha maisha ya wananchi kwa ujumla.
Rais JPM |
Akiongea na waandishi wa habari raisi amesema anajiskia faraja kuona sasa maisha ya mfanyakazi yataboreka kuliko kipindi kingine chochote haswa wananchi wa pato la chini. Hata hivyo raisi huyo wa Brazil akutangaza ni lini ongezeko hilo litaanza ila ameahidi kuanza haraka iwezekanavyo.
HABARI MUHIMU ZAIDI JANA
Ajeruhiwa Na Simba
TANAPA yabainisha kuhusiana na tukio la Kujeruhiwa taarifa zilizodai Kujeruhiwa na simba mlinzi wa Tarangire National Park.
0 Comments:
Post a Comment