BREAKING NEWZ
Mapigano makali yakivita yanaendelea mjini Bujumbura kati ya wanajeshi. Mapigano hayo yameanza saa tisa alfajiri na tayari zaidi ya watu mia mbili wanahofiwa kupoteza maisha!
Vile vile inasemekana Nkurunzinza amerejea Burundi kwa usafiri wa helikopta leo alfajiri akitokea DSM, na kushuka ktk kijiji kilichoko mpakani mwa Tanzania na Burundi. Haieleweki ameelekea wapi baada ya kutoka ktk kijiji hicho! Ila mashuhuda wamesema msafara wa magari yapatayo kama sita ulikuja kumchukua kutokea katika kijiji hicho!!
Source. Reuters& France 24 english
Sent from Grace Macha
WATAALAMU WA HOSPITALI YA KANDA MBEYA WAWASILI CHUNYA KWENYE KAMBI YA
MATIBABU YA MTOTO WA JICHO, ZAIDI YA WAGONJWA 500 KUNUFAIKA KAMBI HIYO.
-
Wataalamu kutoka Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya leo wamewasili wilayani
Chunya Mkoa wa Mbeya kutoa huduma mkoba ya matibabu ya kibingwa ya mtoto
...
3 hours ago
0 Comments:
Post a Comment