Godbless Lema asaini ujenzi wa hospitali ya Mama na Mtoto wenye thamani bil 6.5



Jiji la Arusha leo liko kwenye furaha kubwa baada ya utiaji saini wa mbunge wa Arusha mjini mhe. Godbless Lema na kampuni ya Maternity Leave Africa itakao simamia ujenzi wa hospitali hiyo ya Mama na Mtoto.
akiongea na wananchi wa Arusha waliojitokeza katika zoezi hilo lema alisema kwake ni siku mhimu sana ila ana huzuni moj tu kuwa mtu alie mpa kiwanja ambacho kwasasa kiana samani ya dola laki nne (US$ 400,000) alisema jambo hili anataka limpe heshima kwaajili ya UTU na siyo kwa kampeni zitakazo anza karibuni, na kati ya vitu ambavyo nitajivunia  ni kumbukumbu ya maisha ya binadamu ambayo mimi ni kiongozi ..alisema ni heshima kubwa kutimiza ndoto hiyo aliyoianza miaka mitano iliyopita kutokana na kero alizozishuhudia kwenye hospitali ya mkoa wa Arusha (Mt Meru Hospital) maisha ya mama na watoto yanatuhitaji wote, hatutafuti umarufu kisiasa kwani alipofikilia wazo hili wakati huo siyo Mbunge hakujua hata ataanzia wapi na mpaka wakati huu hajuai nini kinaendelea kweli Mungu anatenda miujiza.. aliwaambia Shirika la Maternity Leave Africa siyo tu kuwa anawapa eneo bali yuko tayari kusaidia kwa vyovyote vile na kwa kuanza ametoa matofari yasiyopungua 5,000.. pamoja na kusaini ujenzi huo wiki ijayo atakabidhi Ambulance kwa hospitali ya Mt Meru..
Akitoa shukrani zake Mwenyekiti wa ArDF Elifuraha alisema Hospital hii haitakuwa ya mama na watoto wasio na uwezo tu bali ya Mama na Watoto wa Tanzania wote pia aliwashukuru madaktari bingwa waliotoa ushauri juu ya hopitali hii na kwa Godbless lema kwa maono yake na kumpa pole mke wa Mbunge (Neema)  kwa kuhusishwa na mashetani kuwa eti amemilikishwa kiwanja hicho….









0 Comments:

Post a Comment