Elisifa Ngowi ni nani ? Kazi yake
ni hipi?
Ufuatao ni mchango wangu
baada ya investigation
1. Elisifa Ngowi ni afisa usalama
wa taifa ambaye kwa sasa
amepenyezwa polisi kusimamia
kikosi cha ujambazi. Pamoja na
kwamba Ngowi anapambana na
hawa majambazi, pia
anawatumia kuangamiza watu
atakaolekezwa kufanya hivyo.
Kifupi, anawatumia majambazi
kuua watu wenye mawazo hasi
dhidi ya watawala, specifically
wapinzani.
Elisifa hupewa maelekezo
kutoka kurugenzi ya ndani ya
usalama wa taifa,Yeye ni mmoja
ya mafisadi. Alikuwepo kwenye
kashfa ya EPA ambapo kampuni
yake ilikwapua zaidi ya bilioni
sita. Katika hizo, bilioni mbili
alizituliza yeye mwenyewe.
Zilizobaki aliwapa wakubwa
wake.
Mmoja ya Jambazi maharufu ni
#Mwakilasa ambaye wakati ule
alimkosakosa Kubenea, yuko
nchini ya Ngowi kwa sasa,kwa
habari ya
Huyu mlinzi Kangenzi amekuwa
mtoa habari wa usalama wa wa
Taifa kwa kipindi kirefu sasa.
Yeye, pamoja na mwenzake
hupeleka taarifa za chadema
usalama wa taifa. Huyu
mwenzake ntamuumbua hapa
mtandaoni mara nikiletewa
picha yake. Ni mshenzi mshenzi
mshenzi aliyepitiliza.
Huyu Ngowi ana mtandao
mrefu. Hushirikiana na vijana
wake kwenye makampuni ya
simu ambao wanapanga taarifa
za targets zake. Akishapewa
yeye huzitumia kuwaangamiza.
Habari nyengine zinasema,
baada ya kuumbuka kwa habari
hii, viongozi usalama wa taifa
wameitisha kikao cha dharura.
Hivi navyoandika kikao
kinaendelea pale St. Peters.
Mwenyekiti ni George madafa.
-
Kiukweli Mwaka huu watahaha
sana. Wameshindwa kushawishi
wananchi sasa wanavizia kuuwa
wapinzani baada ya kuona
wamezidiwa nguvu. Mungu
hatawaruhusu, ila huko ndani ya
CCM watamalizana mwaka huu.
Utawala wa JK ni utawala dhaifu
sana na nafikiri toka Tanzania
ipate uhuru ni utawala
ulioongoza kuuwa watu wenye
mawazo mbadala na yao.
Niwaonye ccm na vibalaka wao
hiyo michezo ya kijinga
italighalimu taifa hatutakubali
maisha ya mtu yoyote yapotee
sababu ya hofu zenu za kijinga
za kuogopa kuondolewa
madarakani kwa box la kura. hii
nchi ni yetu sote kama wananchi
tumewakataa kaeni pembeni
wengine waongoze.
-
Mwaka huu ni wa mwisho kwao
Wameshindwa kushawishi
wananchi sasa wanavizia kuuwa
wapinzani baada ya kuona
wamezidiwa nguvu. Mungu
hatawaruhusu, ila huko ndani ya
CCM watamalizana mwaka huu.
Utawala wa JK ni utawala dhaifu
sana na nafikiri toka Tanzania
ipate uhuru ni utawala
ulioongoza kuuwa watu wenye
mawazo mbadala na yao.
Huyu Ngowi kwa wasiomjua,
ndiye aliyeandaa na kutekeleza
mauaji ya Dk. Mvungi. Kisa:
Alikuwa anataka serikali tatu.
-
Taarifa zaidi nyingine za ndani
ya CC ya ccm kuhusu mipango
ya kumuua Dr.Slaa ilikuwa ni
sehemu ya kuvunja mbio za
Lowassa!!! Mnaweza kujiuliza
Kwa nini? Katika tathmini
iliyofanywa na wanaojiita wana
usalama, walisema siku zote
Lowassa alikuwa akijivunia
kwamba hakuna mtu ndani ya
ccm anayeweza kuhimili
vishindo vya Slaa isipokuwa
yeye. Kwamba hata utafiti wa
Twaweza ulithibitisha hivyo.
Wana intelijensia feki nao
wanaamini hii ni moja ya
sababu inayofanya hata vigogo
muhimu ndani ya ccm
kumuunga mkono Lowassa.
Azimio la kummaliza Slaa
likapitishwa ili kwamba Team
Lowassa ikose sababu. Hapa
ndipo mtaona akili finyu za watu
wanaoishi kwa kodi zetu.
Mnamuuwa mtu kwa sababu ya
matatizo yenu ya ndani? Hii ni
haki kweli? Haina tofauti na
wauwaji wa albino ambao
wanatoa uhai wa mtu kwa
kutaka wapte mkono wake.mda
si mrefu nitaanika mipango
michafu ya TISS na zitto kabwe.
Asanteni sana.pamoja
tutashinda.
ni hipi?
Ufuatao ni mchango wangu
baada ya investigation
1. Elisifa Ngowi ni afisa usalama
wa taifa ambaye kwa sasa
amepenyezwa polisi kusimamia
kikosi cha ujambazi. Pamoja na
kwamba Ngowi anapambana na
hawa majambazi, pia
anawatumia kuangamiza watu
atakaolekezwa kufanya hivyo.
Kifupi, anawatumia majambazi
kuua watu wenye mawazo hasi
dhidi ya watawala, specifically
wapinzani.
Elisifa hupewa maelekezo
kutoka kurugenzi ya ndani ya
usalama wa taifa,Yeye ni mmoja
ya mafisadi. Alikuwepo kwenye
kashfa ya EPA ambapo kampuni
yake ilikwapua zaidi ya bilioni
sita. Katika hizo, bilioni mbili
alizituliza yeye mwenyewe.
Zilizobaki aliwapa wakubwa
wake.
Mmoja ya Jambazi maharufu ni
#Mwakilasa ambaye wakati ule
alimkosakosa Kubenea, yuko
nchini ya Ngowi kwa sasa,kwa
habari ya
Huyu mlinzi Kangenzi amekuwa
mtoa habari wa usalama wa wa
Taifa kwa kipindi kirefu sasa.
Yeye, pamoja na mwenzake
hupeleka taarifa za chadema
usalama wa taifa. Huyu
mwenzake ntamuumbua hapa
mtandaoni mara nikiletewa
picha yake. Ni mshenzi mshenzi
mshenzi aliyepitiliza.
Huyu Ngowi ana mtandao
mrefu. Hushirikiana na vijana
wake kwenye makampuni ya
simu ambao wanapanga taarifa
za targets zake. Akishapewa
yeye huzitumia kuwaangamiza.
Habari nyengine zinasema,
baada ya kuumbuka kwa habari
hii, viongozi usalama wa taifa
wameitisha kikao cha dharura.
Hivi navyoandika kikao
kinaendelea pale St. Peters.
Mwenyekiti ni George madafa.
-
Kiukweli Mwaka huu watahaha
sana. Wameshindwa kushawishi
wananchi sasa wanavizia kuuwa
wapinzani baada ya kuona
wamezidiwa nguvu. Mungu
hatawaruhusu, ila huko ndani ya
CCM watamalizana mwaka huu.
Utawala wa JK ni utawala dhaifu
sana na nafikiri toka Tanzania
ipate uhuru ni utawala
ulioongoza kuuwa watu wenye
mawazo mbadala na yao.
Niwaonye ccm na vibalaka wao
hiyo michezo ya kijinga
italighalimu taifa hatutakubali
maisha ya mtu yoyote yapotee
sababu ya hofu zenu za kijinga
za kuogopa kuondolewa
madarakani kwa box la kura. hii
nchi ni yetu sote kama wananchi
tumewakataa kaeni pembeni
wengine waongoze.
-
Mwaka huu ni wa mwisho kwao
Wameshindwa kushawishi
wananchi sasa wanavizia kuuwa
wapinzani baada ya kuona
wamezidiwa nguvu. Mungu
hatawaruhusu, ila huko ndani ya
CCM watamalizana mwaka huu.
Utawala wa JK ni utawala dhaifu
sana na nafikiri toka Tanzania
ipate uhuru ni utawala
ulioongoza kuuwa watu wenye
mawazo mbadala na yao.
Huyu Ngowi kwa wasiomjua,
ndiye aliyeandaa na kutekeleza
mauaji ya Dk. Mvungi. Kisa:
Alikuwa anataka serikali tatu.
-
Taarifa zaidi nyingine za ndani
ya CC ya ccm kuhusu mipango
ya kumuua Dr.Slaa ilikuwa ni
sehemu ya kuvunja mbio za
Lowassa!!! Mnaweza kujiuliza
Kwa nini? Katika tathmini
iliyofanywa na wanaojiita wana
usalama, walisema siku zote
Lowassa alikuwa akijivunia
kwamba hakuna mtu ndani ya
ccm anayeweza kuhimili
vishindo vya Slaa isipokuwa
yeye. Kwamba hata utafiti wa
Twaweza ulithibitisha hivyo.
Wana intelijensia feki nao
wanaamini hii ni moja ya
sababu inayofanya hata vigogo
muhimu ndani ya ccm
kumuunga mkono Lowassa.
Azimio la kummaliza Slaa
likapitishwa ili kwamba Team
Lowassa ikose sababu. Hapa
ndipo mtaona akili finyu za watu
wanaoishi kwa kodi zetu.
Mnamuuwa mtu kwa sababu ya
matatizo yenu ya ndani? Hii ni
haki kweli? Haina tofauti na
wauwaji wa albino ambao
wanatoa uhai wa mtu kwa
kutaka wapte mkono wake.mda
si mrefu nitaanika mipango
michafu ya TISS na zitto kabwe.
Asanteni sana.pamoja
tutashinda.
0 Comments:
Post a Comment