Helkopta kutua Shaulili;
Helkopta inayotumiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), Freeman Mbowe katika mikutano yake ya Oparesheni Delete CCM,
ikitua katika Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili mjini Mpanda juzi.
Helkopta kuondoka Kashaulili;
Helkopta inayotumiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), Freeman Mbowe ikiondoka katika Uwanja wa Shule ya Msingi
Kashaulili mjini Mpanda, baada ya mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete
CCM, uliofanyika juzi.
Mbowe akihutubia Kashaulili 1-2;
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe
akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Mpanda na vitongoji vyake, kayika
mkutano wa hadahara wa Oparesheni Delete CCM, juzi.
Mbowe kukabidhi kadi;
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe
akikabidhi kadi ya chama hicho kwa aliyekuwa kiongozi wa CCM katika Ktaa wa
Makanyagio mjini Mpanda, Boniphace Futakamba baada ya mkutano wa hadhara wa
Oparesheni Delete CCM juzi.
Mbowe kuondoka Kashaulili;
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe
akiwapungia mkono wananchi wa mji wa Mpanda, wakati akiondoka katika Uwanja
wa Shule ya Msingi Kashaulili mjini Mpanda, ambako alihutubia mkutano wa
hadhara wa Oparesheni Delete CCM juzi.
--
from Grace Macha
+255754283612
MWANAMKE MMOJA AFARIKI DUNIA AJALI YA ROLI MBEZI KWA MSUGULI
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
Mwanamke mmoja amefariki dunia baada ya gari aina ya roli lenye namba ya
usajili T696 CLY kuacha njia na kumgonga mwanamke ...
3 hours ago






0 Comments:
Post a Comment