![]() |
| Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Buhingwe katika mkutano wa hadhara wa Operesheni Delete CCM, uliofanyika juzi. |
![]() |
| Add caption |
![]() |
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), akiwahutubia
wananchi wa Kasulu katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM,
uliofanyika juzi.
|
![]() |
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Freeman Mbowe
akilakiwa na wanawake wa kijiji cha Mwamugongo mkoani Kigoma, ambako
waliwasili juzi kuhutubia mkutano wa Operesheni Delete CCM.
|
![]() |
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Zanzibar), Salumu
Mwalimu akiwahutubia wananchi wa mji wa Kasulu mkoani Kigoma, katika
mkutano wa hadhara wa Operesheni Delete CCM juzi.
|






0 Comments:
Post a Comment