Kikundi cha ngoma ya kibati kikitumbuiza Uwanja wa Ndege wa Pemba wakati wa
mapokezi ya viongozi wa kitaifa wa CHADEMA waliofanya ziara ya siku moja
kisiwani humo kwa lengo la kumtambulisha Naibu Katibu Mkuu wa Chama
Zanzibar, Salum Mwalimu.
KIPANGULA ASISITIZA WELEDI WA UANDISHI WA HABARI SABASABA
-
Na Mwandishi Wetu
Dar es Salaam. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imeendelea
kutumia Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba) kuto...
1 hour ago
0 Comments:
Post a Comment