Gari Ndogo imengia uvunguni mwa basi la Happy Nation maeneo ya Hedaru na watu wote waliokuwepo kwenye gari ndogo wamepoteza maisha...
Uchunguzi wa awali unaonyesha utelezi ndiyo imeleta yote hayo! Marehemu wapumzike kwa Amani
CCM KUFANYA MAPITIO SHERIA IDADI NYUMBA ZINAZOPASWA KUSIMAMIWA NA MABALOZI
-
-Lengo ni kuwapunguzia mzigo wakati wa kutekeleza majukumu yao
Na Said Nwishehe,Michuzi TV
KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi(CCM) Dk.Asha-Rose Migiro am...
1 hour ago

0 Comments:
Post a Comment