Hatimae jeshi la polisi limezihirisha kuwa ni tawi la ccm hii leo baada ya kuanza kuwapiga watu wote waliojitokeza kumsindikiza mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mhe. Freeman Mbowe, mbowe alifika kituo cha polisi makoa makuu ya jeshi hilo kufatia wito wa jeshi hilo kumtaka akatoe maelezo kutafia kutoa kauli kwamba chama chake na washika wake yaani CUF, NCCR mageuzi wanajipanga kuaandamana nchi nzima bila kikomo. lakini watu wenye akili wamejiuliza iweje Mbowe aitwe eti akatoe maelezo wakati majuzi mhe. Komba alitangaza nia yake ya kwenda msituni lakini hakuna aliye mwita wala kumfata kumhoji... hapo ndiypo panapo jizihirisha kuwa jeshi la polisi na tawi la ccm...